Hiki ni kitabu cha mashairi kilichowakutanisha pamoja malenga chipukizi wanne kutoka Zanzibar. Ni kitabu chenye mashairi yanayofikirisha, kuburudisha na kuelimisha kutoka na lugha Safi ya kiswahili iliyotumika. Ukizingatia washairi hawa ni wazawa wa lugha ya kiswahili.
No comments:
Post a Comment